Skip to main content

Sasisho la Mradi 2024

Aina: Machapisho

Mikoa: Kanda za Dunia

Mandhari: Haki za ardhi na rasilimali, Maarifa ya jadi na ya kienyeji, Maisha endelevu, Michakato ya kimataifa, Ufuatiliaji wa viumbe hai, Uhifadhi unaoongozwa na jamii

Lugha ya Nyenzo: Kihispania, Kiingereza, Kiswahili, Thai

Mwaka: 2024

Sasisho hili la Mradi, lililochapishwa Aprili 2024, inleta pamoja masasisho kutoka kwa washirika wa Transformative Pathways kuhusu shughuli zao muhimu na kazi iliyofanywa tangu kuanza kwa mradi mnamo 2022.