Skip to main content

LifeMosaic

LifeMosaic ni shirika linalojitolea kuunganisha uzoefu wa mashinani katika mabara yote, kushiriki hadithi kutoka mstari wa mbele wa migogoro ya kijamii na mazingira, na hadithi za kutia moyo na mikakati ya kujenga ujuzi, matumaini na ujasiri.

Shirika na wafanyakazi wake hushiriki na kukuza mbinu za maono ya muda mrefu na maendeleo ya kujitegemea, ikiwa ni pamoja na kupitia utengenezaji wa zana za uwezeshaji kusaidia harakati za mitaa, waandaaji na wawezeshaji katika kazi yao ya kukuza ufahamu na utetezi na jamii. Muhimu katika hili ni utayarishaji na usambazaji wa video, miongozo na nyenzo nyinginezo kwa ajili ya uwezeshaji kama zana muhimu za kujenga uwezo.

LifeMosaic inalenga kuunga mkono kuibuka kwa kizazi kijacho cha viongozi wa kiasili, kwa wito, ufahamu wa kina, ujuzi na upendo wa utamaduni wao kutetea na kutunza maeneo yao.

Tovuti: lifemosaic.net

Facebook: @Life Mosaic

Dashed line

Jukumu la LifeMosaic katika mradi wa Transformative Pathways

LifeMosaic hufanya kazi na washirika katika mradi wote ili kutoa mafunzo ya jamii na video za sera, na pia kusaidia kujenga uwezo kati ya washirika katika kukusanya kanda za video kwa madhumuni ya utetezi.

Maasai filmmaker Mathias Tooko interviews an elder about cultural revitalisation (Tanzania)
Mtayarishaji filamu wa Kimasai Mathias Tooko akimhoji mzee kuhusu kufufua utamaduni (Tanzania)

Dashed line

Machapisho Yanayohusiana

Filter

Sasisho la Mradi Aprili 2024

Sasisho hili la Mradi, lililochapishwa Aprili 2024, inleta pamoja masasisho kutoka kwa washirika wa Transformative Pathways kuhusu shughuli zao muhimu na kazi iliyofanywa tangu kuanza kwa mradi mnamo 2022. Vikao vya kujenga uelewa juu ya ufuatiliaji wa bioanuwai vimekuwa sehemu muhimu ya awamu ya kwanza…
11.04.24
Video

Mkutano wa Pili wa Ana kwa Ana wa Transformative Pathways

Mnamo Februari 2024, washirika kumi na wawili wa mradi wa muungano wa Transformative Pathways walikusanyika kwa mkutano wa pili wa ana kwa ana wa kila mwaka wa kupanga na kukagua huko Laboot, Chepkitale nchini Kenya. Mkutano huo ulishirikisha takriban washiriki 80, wakiwemo wawakilishi wa mashirika…
02.04.24
Blog
Group photo of the Transformative Pathways Annual Review and Planning Meeting, Included were community members from Thailand, indigenous representatives and staff from partners in Peru, Thailand, Philippines and Kenya, as well as staff from global supporting organizations. Chiang Mai, 2023. The purpose of the meeting was to strengthen the project, reflecting on the previous year, plan for the next, share workplans, participate in capacity-building sessions on CBD international policy processes, workshops on sharing biodiversity monitoring experiences, and advocacy strategies. Photo by PASD.

First Transformative Pathways In-Person Meeting: Annual Planning and Review

The first in-person meeting of the Transformative Pathways consortium took place in Thailand in February 2023. Around 50 participants were present, including project partners, community members and Thai officials. The first day was focused on partner presentations which explored their visions for how this project…
22.02.23