Skip to main content

Filamu kuhusu uchoraji wa ramani katika maeneo ya watu wa Asili, imetengenezwa kwa ajili ya kuamsha hamasa ya kijamii. Filamu inaangalia mbinu na tekinolojia za jadi, faida na changamoto ya uchoraji wa ramani na ufuatiliaji na njia za kupunguza changamoto hizi.

Dashed line

Tazama filamu hiyo