Tuitunze Asili, Kutetea Maisha
24.05.23
Tuitunze Asili, Kutetea Maisha
Filamu hii imeandaliwa na LifeMosaic, na viongozi wengi wa kiasili, watengeneza filamu na washauri kutoka Afrika, Asia, Amerika Kusini, na Polynesia. Filamu Inasimulia hadithi ya vitisho kwa bayoanuwai, dharura ya hali ya hewa, na uharibifu wa haraka wa anuwai ya kitamaduni: hadithi iliyounganishwa ya upotezaji…