
Kuwashirikisha Vijana katika Uhifadhi wa Bioanuwai ya Ndani ya Jiji la Baguio
Baraza la wanafunzi la Chuo Kikuu cha Ufilipino cha Baguio kwa ushirikiano na Partners for Indigenous Knowledge Philipines (PIKP) walifanya matembezi ya kiikolojia na majadiliano ya kielimu kuhusu uhifadhi na ukuzaji wa bayoanuwai katika Hifadhi ya Maji ya Busol na Misitu katika Jiji la Baguio,…