
Uhifadhi wa Msitu wa Mlima Elgon
13.06.23
Uhifadhi wa Msitu wa Mlima Elgon
Msitu wa Mlima Elgon umeendelea kukabiliwa na uharibifu licha ya juhudi za kulinda rasilimali zake na wahusika tofauti. Uchomaji makaa, uvunaji holela wa mianzi na mazao mengine ya misitu ni vichochezi muhimu vya ukataji miti. Mtazamo wa serikali wa uhifadhi kwa kutumia Mpango wa Uanzishaji…