Ufupisho: Utafiti wa Sheria Zinazoathiri jamii asilia na Haki zao za Ardhi na Rasilimali za Mababu zao nchini Ufilipino (2009-2023)
Utafiti huu unatoa muhtasari wa mfumo wa sasa wa kisheria juu ya haki za jamii asilia katika Ufilipino. Inaweka historia ya utambuzi wa kisheria wa haki za watu asilia, zikiwemo haki za kimaeneo,katika sheria za kitaifa za Ufilipino na kuchunguza jinsi hii inavyopata tafsiri kupitia…