Uchoraji wa Ramani na Ufuatiliaji Maeneo ya watu wa Asili
Filamu hii imetengenezwa na watengenezaji filamu sita wazawa kutoka Asia, Amerika Kusini na Afrika, kuhusu uchoraji wa ramani na ufuatiliaji katika maeneo ya kiasili. Filamu hii imeundwa ili kuongeza ufahamu wa jamii na inaangazia mbinu za mababu na kiteknolojia za uchoraji ramani na ufuatiliaji, pamoja…